The Short History of Mhonda Teachers' College

The College was established by the Holy Ghost Fathers of the Catholic Church in 1937. The Institute conducted Middle School training and grade 'C' teachers' training class between 1937 and 1970. In 1970 the college was taken to become a government owned institution. The graduates were those who completed standard 7 and 8 in primary schools level, they joined and studied Grade B teachers training. In 1981-1989 the college conducted three-months short courses for in-service teachers in Reading, Writing and Counting (KKK) fields; and lessons in Music, Agriculture and Art. In 1989 - 1993 the college conducted C-O Teaching Training for in-service teachers aimed at raising their profession towards the form four secondary education level. In 1993 the college instituted formal grade A teachers' Training. In addition, 2014/2015 the college began to conduct the Diploma in Early Childhood Education administered by the National Technical Education Council (NACTE). In 2016 the grade "A" teachers' Training was reinstated where the college currently trains.

.

"Nakukaribisha sana katika chuo cha ualimu Mhonda, chuo chetu kipo mkoani Morogoro na kinatoa mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE)".

"Chuo kipo katika mazingira mazuri sana ya kujifunzia yenye utulivu, mahitaji muhimu kwa wanachuo yanapatikana kwa urahisi. Pia tuna maktaba yenye vitabu vya kiada na ziada. Tuna maabara ya TEHAMA kwa ajili ya mafunzo ya kompyuta"

"Zaidi ya hayo tumejaliwa kuwa na wakufunzi mahiri wenye uwezo katika kuandaa walimu bora wenye nidhamu na wanaojali maadili katika taaluma hii"

List of Principals Since 1970

Name From To Position
D. Fanuel 1970 1971 Principal
F.R Mluge 1970 1975 Principal
J.D Mganga 1976 1979 Principal
S.L Rutakamazibwa 1979 1983 Principal
M.I Chogo 1983 1994 Principal
M.N Putika 1994 2005 Principal
G.L Mnyanyi 2005 Current Principal

College Statement

 • Our Vision To prepare better teachers with ethical, gender-oriented, equitable and responsible, through consistent infrastructure by focusing on social needs in promoting sustainable development:

  Kuandaa walimu bora wazalendo wenye maadili, wanaojali jinsia, haki na wajibu, kwa kutumia miundombinu thabiti kwa kuzingatia mahitaji ya kijamii katika kuleta maendeleo endelevu.

 • Our Mission The teacher becomes the leaven of professional, and ethical changes in stimulating creativity, curiosity and research.

  Mwalimu kuwa chachu ya mabadiliko chanya kitaaluma, na kimaadili kwa kuchochea ubunifu,udadisi na utafiti.

 • Our Motto Education Brings Human Equality

  Elimu Ilete Usawa wa Binadamu.

Nembo ya chuo

Logo yetu inabeba ujumbe wa kuhamasisha matokeo ya elimu kuleta usawa wa binadamu yakichagizwa na maendeleo ya teknolojia pamoja na ushiriki wa michezo

Kozi Tunazotoa 

Chuo chetu ni cha serikali kinachotoa mafunzo ya ualimu kwa ngazi ya cheti.

 • Ualimu Elimu Awali- Cheti Miaka 2
 • Ualimu Elimu Msingi- Cheti Miaka 2
 • Ualimu Elimu Awali- Cheti Maalum Mwaka 1

Our college is a owned by government, we offer teacher training to the level of the certificate.(GATCE)

 • Certificate In Early Childhood Education- Two 2 years
 • Certificate Primary Education- Two 2 years
 • Special Certificate In Early Childhood Education- 1 year