Ualimu na Walimu

Karibu katika idara ya ualimu

Tembelea tovuti yetu.

Kozi za Ualimu zinazotolewa

.

.

UANDISHI WA MUSWADA NA RIPOTI YA UTAFITI

Kutokana na maombi na mapendekezo ya wengi tumeamua kuweka somo la namna ya kuandaa na kufanya utafiti wa kielimu ili kila mwanachuo ajaribu kupitia kwa muda wake na kupata uzoefu wa namna ya kufanya utafiti. Pakua masomo hayo ambayo yako kwa mtindo wa 'presentation' ambayo ilifanywa hapa chuoni miaka ya masomo uliopita hapa chini

  1. Uandishi wa Muswada wa Utafiti wa Kielimu

  2. Uandishi wa Ripoti ya Utafiti wa Kielimu